Saturday, October 4, 2014

HAPPY BIRTHDAY TO ME : TEAM LIBRA

NAMSHUKURU MUNGU KUNIJALIA UZIMA NA UHAI HADI LEO. 

NAWASHUKURU SANA WAZAZI WANGU KWA KUNILETA DUNIANI NA KUNILEA VEMA KIMAADILI NA KUNIPA MAHITAJI YOTE MUHIMU AMBAYO MTOTO ANATAKIWA KUPEWA. 

NAMSHUKURU MUME WANGU KUWA NAMI BEGA KWA BEGA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU NA UPENDO ULIO NAO KWANGU NA MTOTO WETU ALVIN. 

 PIA MARAFIKI NI SEHEMU YA MAISHA YANGU, SIWEZI KUWASAHAU KWAKWELI MAANA MMEKUWA NAMI KATIKA SHIDA NA RAHA MUNGU AZIDI KUWABARIKI. 

MWAKA HUU HII SIKU IMENIKUTA MSUMBIJI, NAONGEZA MWAKA NIKIJIFUNZA NENO LA KIRENO. MUNGU NAOMBA UZIDI KUNIPA UMRI MREFU WENYE HEKIMA, KUSALI, UPENDO, MAFANIKIO NA HESHIMA SIKU ZOTE.  AMINA

Nikiwa na rafiki kutoka Commoro

Nikiomba nijaribu kuendesha


Nikijifunza

Captain nielekeze wapi nibonyeze speed iongezeke




Mapose tu ya picha


Mama Alvin

Mrs CA

PRE BIRTHDAY DINNER 
Baada ya shughuli za siku, Wakasema kwakuwa tunakaribia kusherehekea siku yako ya kuzaliwa tukupeleke mahari tupige story mbili tatu
 Andy, Marumoto, Parker, John and Ester
 Wareno na mbwembwe zao, ikaletwa nyama mbichi juu ya jiwe la moto, STEAK STONE
Misosi ya Kataa Unene Family ...Salad
 Nyama ikichomwa, jiwe likiivisha
 Andy akifanya mambo
 David Parker
 Nyama ikiiva. Mjapani akigeuza geuza iive
 Nyama laiini na tamu kama ya Kongwa Runch



Nili enjoy hasaa.  Ilipofika saa 6 nikaimbiwa na kutakiwa mema, Asante sana Mungu

Friday, October 3, 2014

BAO

Wataalamu wakicheza bao, kwa Kireno wanaita Ntxuva
Refu kweli, tofauti na yale ya kwetu mafupi na ya mbao
Na wachezaji ni wawili

AMANI IWE NANYI


PORTO DE MAPUTO - NI MWENDO WA KIRENO

Maelekezo yakitolewa na David Parker

 Mama Alvin

 Levelling

 Mmalawi na Mtanzania

 Booking

 Mapumziko kidogo

Emmanuel, Andy na Ester

 Ule muda unasemeshwa kireno na wewe unamjibu kiswahili / lugha gongana hehehe

 Mmalawi, Mmadagascar na Muangola

 Mmalawi, Mbritish a.k.a Mzungu na Mtanzania
 Mkenya na Mmalawi

Story kidogo wakati wa mapumziko

Thursday, October 2, 2014

LITTLE GIRL, 5, CANNOT PLAY OUTSIDE IN THE SUN DUE TO RARE SKIN CONDITION THAT LEAVES HER COVERED IN PAINFUL SCALES


Georgia Mitchell, from Kentucky, is forced to stay indoors during the summer months. She was born with an extremely rare skin condition, which causes scales to form all over her skin. Sunshine and heat aggravates the illness, causing her excruciating pain





Her mother Misty Mitchell, pictured with husband Sonny, said she knew something was wrong as soon as she had given birth after an emergency C-section




Wednesday, October 1, 2014

MTAANI MAPUTO - MSUMBIJI

Mrs. CA aka Mama The Don
 Samaki wakavu


 MUSEUM - Wale wa History mnamkumbuka Vasco da gama?? Wiki ijayo nitaleta Story kamili ya Ngome hii
 Mitaa ya akina mama ntilie

 Afrika ni Afrika tu
 Uchaguzi utakuwa tarehe 15 october 2014, utulivu ni wa hali ya juu

 Samaki hao, kazi kwenu walaji
Fresh kabisa