Monday, October 27, 2014

HOUSE GIRL AMCHOMA KISU MTOTO JICHONI NA KICHWANI : MUNGU TULINDE WANAO

Dada wa kazi (Housegirl), aliyetajwa kwa jina moja la Rachel, mkazi wa Tabata-Shule jijini Dar, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua kisu jikoni kisha kumchomachoma nacho mtoto, Samwel John (4) anayeishi nyumba ya jirani.
Kwa upande wake House girl alipoulizwa ni kwa nini alifanya kitendo cha kinyama kiasi hicho alisema kuwa alikuwa akitamani kumtoa jicho mtoto huyo.
“Alisema kuna shetani au roho ilikuwa ikimtuma amng’oe macho mwanangu,” alisema baba wa mtoto huyo anayejulikana kwa jina la John.

source: EATV

MAMBO YA DIWALI DAY TAREHE 23/10/2014 HUKO INDIA BAADHI YA MAENEO WALISHEREHEKEA HIVI

 ASANTE SANA MACHUMU KWA MATUKIO YA PICHA HIZI...MAANA UNAONEKANA ULIVYOFURAHIA SIKU HII NA UKAWEZA KUCHORA MAUA NAMNA HIYOSAFI SANA

Tuesday, October 21, 2014

HIGH BLOOD PRESSURE? YOU CAN'T BEAT EATING BEETROOT

Something that is good for us can also be bad for us. It may sound illogical, but it's why one week we can read that something is a universal panacea only to become a powerful carcinogen the next.
Take oily fish. It's full of good things such as long-chain omega-3 fatty acids, but also contains pollutants. How good or bad it is depends on who you are and how much you eat. (Check out the NHS Choices website for information on oily fish).
And what about the claims for 'superfoods' such as blueberries and goji berries? Read the smallprint of the research and inevitably it will say something like, 'at some unspecified point in the future the chemical in this superfood may provide benefit to some patients'.
That's fine, but all this means is that by now many of us have a healthy scepticism about the next claim to come along.
We start to suspect that quite apart from making the people who eat them hugely dull, foods that are 'good for us' may not be quite as good for us as we've been lead to believe.
So when beetroot hit the headlines a few years ago with claims about improved athletic performance and lower blood pressure, many probably dismissed them. I certainly did.

Saturday, October 18, 2014

UTAMADUNI WA MWAFRIKA, NA HIVI NDO TULIVYOJAALIWA NA MWENYEZI MUNGU Siku ya jumamosi mtaani Maputo huwa ni kama hivi, ni biashara kwa kwenda mbele

 Vitu vya asili, ki utalii zaidi
 Mataifa mbali mbali maeneo ya biashara hizi

 Vinyago
  


 Vibanio vya kichwani Vikoi vya kila aina


Kuzunguka na kuangalia biashara hizi ni utalii tosha....ukinunua unakuwa umeafanya vizuri zaidi, kusaidiana kiuchumi pia

Thursday, October 16, 2014

BARABARA YA MWALIMU JULIUS NYERERE - MAPUTO MSUMBIJI

Av. Julius Nyerere at Maputo - Mozambique

 Wanamuenzi babu yetu Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania. 
  Bara bara ya Julius Nyerere
 Nilifurahi sana nilipoona bango hilo, anaenziwa vizuri na majirani zetu
Yes....nikiwakilisha na Tshirt yangu ya Namba one fan wa Lady Jaydee

Monday, October 6, 2014

BIRTHDAY TRIP TO “XEFINA ISLAND - MAPUTO

Nikapewa zawadi ya Cake toka kwa Group, imeandikwa Kireno.


 Kwa upepo wa bahari ya Hindi ilibidi nikitumie kikoi changu ipasavyo
  Birthday Lady
Nikiwa na wamiliki wa Boat hii .... Mmoja aliwahi kuishi Zanzibar na mwingine aliwahi kuishi Dar akifanya kazi Wazo Cement... kwasasa wamestaafu wanaishi hapa Maputo wakifanya biashara moja wapo ni hii Boat yao. Kila jumapili inakuwa inapeleka watu kisiwani, wanafanya biashaa huku na wao waki enjoy. Maisha matamu bila stress

John and Marumoto
Parker
Andy


Tukabadilishana, ila kwenye playlist yake zimejaa nyimbo za watanzania, kweli wakenya wanatukubali